Wananchi wamepewa mafunzo namna kutumia mitego ya panya ili kuzuia uharibifu ambao unaweza kusababishwa na panya hao katika mazingira wanayoishi na mazingira jirani na makazi yao. Mafunzo hayo yametolewa na Professa Makundi kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu SUA…
Watafiti kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu SUA wamefanya ziara ya kiutafiti katika Zanzibar ili kuangalia na kuidhinisha maeneo mapya ya Utafiti wa matatizo yanayosababishwa na panya. Watafiti hao Prof. Apia Massawe na Prof. Loth Mulungu wametembelea Taasisi ya…
A hero is laid to rest. It is with a heavy heart that we share the sad news that HeroRAT Magawa passed away peacefully this weekend. Magawa was in good health and spent most of last week playing with his…
Panya ni wanyama waharibifu wa mazao mengi yakiwemo mahindi na mpunga kuanzia shambani hadi ghalani. Hasara/upoteaji wa mazao shambani kutokana na athari za panya hutofautiana kutokana na maeneo na majira ya mwaka kwa sababu uwing wao pia hutofautiana kwa sehemu…
The Africa Centre of Excellence for Innovative Rodent Pest Management and Biosensor Technology Development (ACE IRPM & BTD) organized a Filed School for Knowledge for a group of 27 Masters Students in the Eastern Usambara Mountains, from 21st -27th November…
Watafiti kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu SUA wamefanya ziara ya kiutafiti katika Mikoa ya nyanda za juu kusini na katavi ikiwa ni mwendelezo wa ziara zilizofanyika katika mikoa mingine ili kuangalia na kuidhinisha maeneo mapya ya Utafiti wa…
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu Prof. Mulungu amefanya mkutano na wakurugenzi na watafiti wastaafu wa Taasisi hii ikiwa ni baada ya aliyekuwa mkurugenzi wa taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibu Prof L.L Mnyone kuteuliwa wizarani. Mkutano…
Watafiti kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu SUA wamefanya ziara ya kiutafiti katika Mikoa ya Pwani na kanda kusini ikiwa ni mwendelezo wa ziara za kitafiti ili kuangalia na kuidhinisha maeneo mapya ya Utafiti wa matatizo yanayosababishwa na panya. …