Watafiti kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu, SUA, wanaendelea na tafiti mbalimbali Mkoani Iringa, Wilaya ya Iringa Vijijini, Kata ya Isimani, Kijiji cha Kising’ha. Utafiti unafanyika katika Kituo cha Majaribio ya Kilimo cha Uyole ikiwa ni mwendelezo wa tafiti…
