Watafiti kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu, SUA, wanaendelea na tafiti mbalimbali Mkoani Iringa, Wilaya ya Iringa Vijijini, Kata ya Isimani, Kijiji cha Kising’ha. Utafiti unafanyika katika Kituo cha Majaribio ya Kilimo cha Uyole ikiwa ni mwendelezo wa tafiti…
Watafiti kutoka Taasisi Ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu SUA wamefanya ziara katika Bandari Ya Kemondo Mkoani Kagera ikiwa ni muendelezo wa ziara ya kutafuta maendeo ya kufanyia tafiti katika mikoa ya kanda ya ziwa. Watafiti hawa walipokelewa na Afisa wa…
Visit to the Lake Zone Regions by Researchers from the Pest Management Centre, SUA and the Africa Centre of Excellence for Innovative Rodent Pest Management and Biosensor Technology Development (ACE IRPM &BTD). Two researchers, Prof. Apia Massawe and Prof. Loth…
Mr. Clement Pangapanga dedicated 32 years of service with honour as a senior Laboratory Assistant at Sokoine University of Agriculture You couldn’t stay for a short or long period at the SUA Pest Management Centre without noticing the presence of…
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu, Dkt. Ladslaus Mnyone ahamasisha wafanyakazi wa Taasisi na Nchi kwa ujumla kupokea huduma ya chanjo ya Uviko wa 19 kwa moyo mmoja na amani ili kuhakikisha afya njema katika kupambana na kirusi…
One among PhD students beneficiary of ACE IRPM & BTD , Dr. Amina Ramadhan Issae at the Institute of Pest Management starts data collection for her PhD research earlier on July 2021 in Ngorongoro district.Dr. Issae’s PhD studies is sponsored…
Watafiti kutoka Taasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai Waharibifu wameanza kufanya tafiti katika vijiji vya Mkula, Msufini ,Sonjo na Katulakila katika Kata ya Mkula Wilayani Kilombero Mkoa wa Morogoro. Tafiti za awali zimelenga kuangalia ni aina gani ya panya wanaopatikana…
FROM RODENT RESEARCH PROJECT (RRP) TO SUA INSTITUTE OF PEST MANAGEMENT (IPM): A PROCESS OF TRANSFORMATION AND EXCELLENCE The story of transformation from a tiny Belgian Government supported research project on “Rodents as disease carriers and crop destroyers” between 1986-1989…