The 64th Board meeting was officially opened by the chairperson Dr. Abdul Katakweba (acting director of the Institute of Pest Management) was also invited by members from different departments to discuss various issues concerning the Institute of Pest Management. …
Institute of Pest Management is well known worldwide for its outstanding research outputs on rodent and other small mammals. Our team does rodents trapping in different fields so as to obtain samples for population dynamics. Samples collected from trapped rodents…
Maonesho ya Nanenane kanda ya mashariki mikoa ya (Pwani, Dar es salaam, Tanga na Morogoro) yaliyoanza tarehe 01/08/2022, yamezinduliwa rasmi na Waziri Mkuu Mstaafu awamu ya nne Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda leo tarehe 04/08/2022 katika viwanja vya Mwl. Julius…
Maonyesho ya kilimo, mifugo na uvuvi yameanza rasmi katika viwanja vya nanenane Mkoani morogoro. Maonyesho haya yamekuja na kauli mbiu inayosema “Agenda 10/30 kilimo ni biashara, Shiriki kuhesabiwa kwa mipango bora ya kilimo, mifugo na uvuvi”. Pia katika maonyesho haya…
Malaria ni miongoni mwa magonjwa tishio zaidi katika nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania hususani kwa watoto chini ya miaka mitano na kwa mama wajawazito. Tafiti kuhusu ugonjwa wa Malaria zaanza rasmi katika Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu. …
Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu yashiriki maonesho ya ubunifu yaliyofanyika katika viwanja vya jamuhuri jijini Dodoma yaliyobeba kauli mbiu isemayo “Ubunifu kwa Maendeleo Endelevu”. Maonesho haya yalihudhuriwa na taasisi mbalimbali na kuonyesha teknolojia mbalimbali bunifu zilizopo katika taasisi zao.…
Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu yashiriki maonyesho ya ubunifu yaliyofanyika kampusi ya Solomon mahlangu (Mazimbu-SUA) yaliyobeba kauli mbiu isemayo “Ubunifu kwa Maendeleo Endelevu”. Maonyesho haya yalihudhuliwa na idara mbalimbali na kuonyesha teknolojia mbalimbali bunifu zilizopo katika idara hizo. Mgeni…
Watafiti kutoka Taasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai Waharibifu SUA (Institute of Pest Management (IPM)) walifanya ziara ya utafiti katika Mkoa wa Mjini Magharibi Wilaya ya Magharibi A Zanzibar wakishirikiana pamoja na watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti ya Kilimo Zanzibar…